Naomba ufafanuzi wa alama hii kushoto kwenye simu

mikononyuma

JF-Expert Member
Jul 8, 2015
642
594
Kitendawili Kiki kimenishinda

Screenshot_2021-09-21-18-36-06-27.jpg
 
Uliiweka simu yako kwenye maji au sehemu yenye uneyunyevu ?

Kuna uwezekano ni warning kuwa charging port ina moisture , ukicharge inafanya kazi ?

Ukiangalia kwenye list ya notification hakuna message yoyote inayoendana na hiyo icon ?
 
Ndio niliishika baada ya kutoka bafuni nikiwa na maji mwilini upo sahihi, nimeichaji imechaji vizuri Tu,

Kwenye list ya notification hakuna sign mfanano

Solution? Cannabis
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom