Naomba ufafanuzi kuhusu Matibabu ya masikio

DISLIKER

Member
Jul 29, 2023
43
42
Habarini Wana jukwaa.

Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
 
Habarini Wana jukwaa. Naomba kwa mwenye taarifa juu ya operation za cochlear implant surgery kwa Tanzania na gharama yake na hospitals zinazotoa huduma hii pia anijulishe kwa upana zaidi.
Muhimbili wanatoa hiyo huduma. Sio chini ya 40M.
 
Kama lengo ni kuponya suala la usikivu naona uache tu mkuu wangu
 
Mkuu pole,Mimi in mhanga pia wa tatizo hilo na nimezunguka hospital nyingi tangu nikiwa na miaka 20 nikiwa form four mpaka Leo Nina miaka 35 ila cjafanikiwa kutatua changamoto na kwasasa nimechukulia kama hali ya kwaida tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…