Naomba ufafanuzi kuhusu hizi nafasi za kazi za muda Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC)

ThugMaster

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
1,566
2,177
Habari za muda! Kuna tangazo la nafasi za kazi za muda tume ya taifa ya uchaguzi.

Naomba kuuliza je ni lazima uwe umesoma fani za IT/ ICT ndiyo unaweza chukuliwa au pia hata kama una uzoefu wa computer na cheti cha short course unaweza pata nafasi.

Mwenye ufahamu au ambae ameshawahi omba hizi nafasi.
 
Awe na cheti Cha shahada, au stashahada au astashahada katika faini ya TEHAMA(ICT/IT), Electronics au Electrical inayotolewa na chuo kinacho tambulika na serikakali au fani nyingine yeoyote inayo endana na masuala ya TEHAMA au cheti Cha kozi ya kompyuta au mwenye ujizi wa kompyuta.

Nafikiri mpaka hapo jibu ushapata
 
Asante mkuu, mimi nipo hapo kwa mwenye cheti cha course ya computer, nilitaka kujiridhisha pasipo shaka.
 
Habari za muda! Kuna tangazo la nafasi za kazi za muda tume ya taifa ya uchaguzi.

Naomba kuuliza je ni lazima uwe umesoma fani za IT/ ICT ndiyo unaweza chukuliwa au pia hata kama una uzoefu wa computer na cheti cha short course unaweza pata nafasi.

Mwenye ufahamu au ambae ameshawahi omba hizi nafasi.
Zimetoka tayari?
 
Hello, ivi mpaka Sasa hawajaita kwenye usaili?
 
Back
Top Bottom