NCHABIRONDA
JF-Expert Member
- Jun 6, 2011
- 298
- 108
Je umepitia jando
Mlaze kifo cha mende, akunje magoti ingiza kidole cha kati utaishikaMara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wanaongelea hili neno G-SPOT eti kwamba ni kiungo cha mwanamke kilichoko kwenye uke wake. Wanadai kwamba hicho kiungo ndo kinampa mwanamke msisimko katika suala zima la maandalizi kabla hamjaanza game, naombeni wadau wenye utalam wa mapenzi mnieleweshe hiyo G-SPOT iko maeneo gani mbona mimi nikiwa na shemeji yenu najaribu kuitafuta hiyo G-SPOT lakini siioni. Naombeni ufafanuzi wadau
Mlaze kifo cha mende, akunje magoti ingiza kidole cha kati utaishika
maelezo mengine nakuandikia kwenye karatasi....
Maswali ya kipuuzi huulizwa na wa puuzi, pia wayajbuyo huwa kund moja na hao waitwao wapuuzi. wenzenu wanajibidiisha kutawala kiuchum nyiny kil a mkikaa mbele ya keyboard mnawaza uzinzi na zinaa enyi kizazi cha zinaa, ni nani atakaye waokoa na hukumu ya MUNGU iliyotayari kuujia ulimwengu kwa kugeuza nia za mioyo yenu!

oh....wengine hawana hivyo viungo...