lwa kalolo
Senior Member
- Nov 24, 2014
- 182
- 123
Naombeni ufafanuzi kwamba sheria inasemaje kuhusu kutohudhulia mahakamani siku ya kesi bila kutoa taharifa ikiwa wewe ni mshtakiwa katika kesi ya madai
Mkuu inategea na hakimu,ila mara nyingi order ya kurudishwa mahabusu uwa inatolewa hapo hapo...!!Nashukuru kwa ufafanuzi, lakini je kutoudhullia na ikiwa wewe ndo mshitakiwa mahakama inaweza toa kibari utafutwe siku hiyohiyo?