C Chilloraheem New Member Joined Jan 7, 2014 Posts 2 Reaction score 0 Feb 22, 2014 #1 Kinachonichanganya ni kuona aina ya pointi, kama vile 30 ni DV 3, 40 ni DV 4, grade kama E, ni sifa zipi zinazompeleka wanafunzi kitado cha tano? Naomba kufahamu juu ya hili.
Kinachonichanganya ni kuona aina ya pointi, kama vile 30 ni DV 3, 40 ni DV 4, grade kama E, ni sifa zipi zinazompeleka wanafunzi kitado cha tano? Naomba kufahamu juu ya hili.