Naomba tusaidiane malezi

Nakubaliana na wewe mkuu,Mtoto anajaribu kutafuta attention kwasababu anaona hatopata mapenzi ka mwanzo! toccara inabidi uwe unaweka muda private hata ukishajifungua ili muspend time ww na huyo mtoto wa kiume ili asijione kama ametengwa kwasababu familia imeongezeka.Kuna uwezekano pia huyo mtoto anapitia "DEFIANCE AGE".
Jaribu kuongea nae kwa utaratibu ujue tatizo ni nini?Jishushe uwe katika level yake.Watoto wako very open wakipata sense unawasikiliza na huwajudge!
How to Handle Defiant Children
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hongera una moyo tofauti na nlodhani.!2 ni vyema uwe na ukaribu zaidi na yeye ukimfundsha na kumeelekeza huo ni utoto tuu and if possible jaribu kutokumuonesha njia yoyote ike ya kumuonea au vip..! Mpende na kumuelekeza na kumuomba Mola amrekebshe
 

asante my dear na samahani kwa kuchelewa kukujibu sikuwa karibu na huu mtandaomuda mrefu sana toka last year,nashukuru sasa wamekuwa na wako pamoja wanapendana vituko vimeisha
 
habari,mkuu tupe mrejesho vzr

mrejesho ndiyo huo, watoto wangu sasa wako salama, yule mtundu amekua ni mkaka sasa anaelewa kama anatakiwa kucheza na wadogo zake na siyo kuwafinya au kuwafanyia vituko vyovyote.
 
Mtoto asipofanya vituko akiwa mdogo tegemea atakuwa kama lemutuz akiwa mkubwa, kila stage Ina umuhimu ktk maisha ya mwanadamu, chamsingi wewe ni kum-control
 
Mtoto asipofanya vituko akiwa mdogo tegemea atakuwa kama lemutuz akiwa mkubwa, kila stage Ina umuhimu ktk maisha ya mwanadamu, chamsingi wewe ni kum-control

hahahaha asante sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…