huyo mtito ni mkubwa na sioni tatizo la huyu kaka kwenda kumjua mtoto wake mwenyewe...huyu mke atulizane tuu...kama kweli ana nia huyu mtoto anaweza jitokeza ghagla hapi nyumbani ikawa nomaaaaa...so bora amlete mwenyewe tuuu
yupo ktk ndoa kwa miaka 31, hivi umri wake si chini ya miaka 50. maswali anayouliza kwa mtazamo wangu hayafanani na umri wake kwasababu umri wake siyo wakuuliza hayo maswali, sana sana ninamsoma huyu kaka yako ni kama mtu anae kwepa majukumu, kama ambavyo alikwepa miaka 20 iliyopita. mtoto anamiaka 20, ni mtu mzima, na mama wa mtoto alisha mwambia kuwa mtoto alizaliwa kwa baba mwenye mke na ndoa. hapo sitarajii kuwa mtoto atamwuliza baba eti kwanini ulinikana. mtoto ataangalia tu namnagani Baba anaonyesha kujali kwake kwa wakati huu. ikumbukwe kuwa huyu mtoto anatafuta Baba kama mzazi na si kutafuta pesa ( kwani ana kazi tayari).Habari za mchana wana MMU! Mchana huu nimeshirikishwa jamba na kaka yangu (tunafanya kazi wote) ili nimshauri na mimi nikaona kabla sijamshauri chochote ngoja nipate mawazo ya wapendwa wangu hapa MMU, maana palipo na wengi hapaharibiki neno.
Alivyonisimulia ni kwamba, yeye enzi za ujana wake karibu miaka 20 imepita akiwa kwenye ndoa aliwahi kutembea na mwanamke nje ya ndoa na kwa bahati yule mdada akapata mimba. Na alivyoona hivyo akamweleza huyu kaka ila huyu kaka alimkatalia kata kata na uhusiano ukaishia hapo. Naomba ifahamike kuwa huyu kaka yuko kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 31 sasa.
Sasa wiki iliyopita huyu kaka kapigiwa simu na baada ya salamu binti akajitambulisha kuwa mi mwanao, ulizaa na fulani miaka hiyo sasa ninakutafuta nikuone. Binti amemaliza form 6 na anafanya kazi na pia anaishi mkoani. Huyu kaka akampigia simu yule mwanamke aliyezaa naye na kumuuliza kulikoni akajibiwa ndio hivyo na nilikwambia ukakataa........sasa mtoto amekuwa akinisumbua kila siku nimwambie baba yake yuko wapi au kama amekufa pia nimwambie...... na mimi nikaona haina maana kumdanya mtoto kwanza ni mkubwa na anamaisha yake hivyo nikaona nimwambie ukweli.
Sasa huyu kaka yangu anajiuliza kwanza akikutana na binti yake atajitetea vipi na pili atamwambia nini mkewe ambaye kweli jambo hilo la mtoto wa nje hataki kusikia kabisa, ila yeye binafsi anatamani kumfahamu mwanae na amtambulishe pia kwa watoto wake na ndugu zake kwa ujumla.
Nasubiri mawazo yenu.
Hakuna la kumwambia hapo na cha msingi kila kitu kitapatikana atakapokutana na mwanae,anaweza kujipanga kusema hivi na akakuta mtoto nae anampeleka vile.
Ni jambo jema kumjua mtoto wake
yupo ktk ndoa kwa miaka 31, hivi umri wake si chini ya miaka 50. maswali anayouliza kwa mtazamo wangu hayafanani na umri wake kwasababu umri wake siyo wakuuliza hayo maswali, sana sana ninamsoma huyu kaka yako ni kama mtu anae kwepa majukumu, kama ambavyo alikwepa miaka 20 iliyopita. mtoto anamiaka 20, ni mtu mzima, na mama wa mtoto alisha mwambia kuwa mtoto alizaliwa kwa baba mwenye mke na ndoa. hapo sitarajii kuwa mtoto atamwuliza baba eti kwanini ulinikana. mtoto ataangalia tu namnagani Baba anaonyesha kujali kwake kwa wakati huu. ikumbukwe kuwa huyu mtoto anatafuta Baba kama mzazi na si kutafuta pesa ( kwani ana kazi tayari).
suala la nini atamweleza mke wake, nalo lipo wazi halina kuficha, ni kuwa miaka 20 iliyopita alitoka nje ya ndoa, hakujua alichokifanya huko, na sasa, amekuja mtoto ambae alimzaa hiyo miaka 20 iliyopita, hakuwa na mawasiliano na mama wala mtoto, bali sasa mtoto amemtafuta. huyo mke atakubali, aidha hata asipokubali hana la kufanya.binti ni mkubwa anajitegemea, huyo mke hata akiwa mkali anajidhalilisha tuu
bado ninaona huyu kaka yako ni mtu mkwepa majukumu, ni mjeuri, mtu wa miaka 31 kwenye ndoa, ni mtu mzima ni mzee, sasa anapouliza aongee nini kwa huyo binti na amwambie niini mke wake, ni uvivu.

well balanced post,thanks.Amuone Mwanaye, na yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho, kama akimkubali mkewe hawezi kukataa tena mtoto mwenyewe ni mkubwa hivyo tatizo ni yeye hajiamini tu. Inakuwaje Mtu unakataa damu yako mwenyewe kwa kisingizio cha ndoa? huo ni ukatili kuliko kuvunjika kwa hiyo ndoa maana yake kama mkeo anakataa damu yako anamaana gani kwako? Ila tutunze uaminifu ktk ndoa maana matukio ya kukosa uaminifu pia huwa yanaumiza sana.
Ndugu yangu hakuna kitu kibaya kama kukataa mtoto,hata iwe vipi so long as ulichojoa kubali matokeo.Sorry to say this,kaka yako ni mpuuzi sana(he is about my age i pressume),miaka yote alichoogopa kumwambia mkewe ni nini hasa,umri huu anakuwa mgeni na wanawake?Sikiliza bana kakako wala asikubabaishe,take charge kbd,chukua namba ya simu kwa kakako,mpigie simu binti,meet her mwambie we ni shangazi yake,the rest is simple kakako atamkuta mwanae dining table nyumbani kwake kisha tuone atafanya nini,gaddamit.Mambo madogo sana haya kila kukicha tunakutana nayo.Msitupe mtoto mtaleta mikosi bure kwenye ukoo wenu.
Amuone Mwanaye, na yeye ndiye mwenye maamuzi ya mwisho, kama akimkubali mkewe hawezi kukataa tena mtoto mwenyewe ni mkubwa hivyo tatizo ni yeye hajiamini tu. Inakuwaje Mtu unakataa damu yako mwenyewe kwa kisingizio cha ndoa? huo ni ukatili kuliko kuvunjika kwa hiyo ndoa maana yake kama mkeo anakataa damu yako anamaana gani kwako? Ila tutunze uaminifu ktk ndoa maana matukio ya kukosa uaminifu pia huwa yanaumiza sana.
Kulea alishindwa hata kumuona mtoto anaona kazi?Amtendee huyo binti haki kwa kwenda kumuona maana mpaka amtufute mtu aliyemkataa tangu hata hajazaliwa ni sawa na kujitoa mhanga. . . it takes a lot of strength to do something like that.
Asipoonana nae sasa hivi huyo binti ataumia na huyo kaka yako atajutia uamuzi wake uzee wake wote.Hata kama mkewe sio mwelewa aanze taratibu.Kwanza akamwone mtoto na waendelee kuwasiliana huku akitafuta namna ya kumwambia mkewe.Anaweza akawaambia ndugu zenu wakubwa (baba, mama, wajomba ) kama wapo wamsaidie kuwambia mke.
Kbd mama sikiliza,huyo wifi yako asikubabaishe,na kwa taarifa yako miaka 30 ndani ya ndoa hawezi mwacha kakako hata iweje,that i can assure you,besides usimwone ni malaika sana ukute naye ashalambwa ndani ya ndoa vile vile.Acheni mambo yenu haya pelekeni mtoto nyumbani,iteni ukoo mumchinjie mtoto mambo yaishe.Mpaka sasa anawasiliana na mwanae kwenye simu tu........yaani amekuwa anauwoga wa ajabu utafikiria ni teenager, anasema akiongea na huyo mwanae anaona kama mate yanamkauka vile hana hata cha kusema sana sana yule binti ndio anakuwa mchangamfu. Na kingine, mkewe si muelewa kivile hivyo anavyodhani yeye akimwambia patakuwa hapatoshi hapo nyumbani.
Asante kwa ushauri, nitamwambia a-man-up na a face responsiblities zake.