Shida ya ulaya cku hizi makocha ndo wanacheza mpira, unaweza ukawa na super talent lakini kwenye mifumo ya makocha wengi usi-fit ndo maana haishangazi kumuona aziz ki yupo yanga Tanzania halafu fred yupo man u England au inonga yupo simba Tanzania halafu Maguire eti yupo man u England na bila aibu na captain armband kapewa kabisa