Aziz ki ni mtu na nusu aisee, mchezaji mzuri auhitaji muda kumjua ata kama ni mgeni, tumeshamuona akiwa na Asec mimosas na hapa nafikiri bado ajaonyesha ata 50% ya kiwango chake halisi nafikiri akishaelewana na wenzake vizuri atakuwa ni moto wa kuotea mbali, mchezaji kufatwa na timu Kama pyramid ya misri ujue yaliyomo yamo kwa maana wale wanao mascauti wanaowajua wachezaji wazuri, Tshabalala kapigwa tobo akabaki ameduwaa Kama vile ajielewi🤣🤣