Naomba tujadili haya...

Development must not be seen as situational but a chain of constant changes and transformations in a society from a lower level to a higher level reflecting human understanding on himself and his enviroment, himself being part of the changes and transformations. Finaly using the acquired skills in the transformation processes to effectively utilize the available resources to make life better.
The government being a product of those changes and transformations, must take its role to effectively manage, quide and moderate
all the transformation processess to effectively improve the life and welfare of all the people. The key issues in development is how to manage the available wealth in the the transformation processess and the human role as an object and subject of the chain of changes and transformations.
 
Kwa mwendo huu tulionao TZ, hata kama ni miaka miamoja hatutakuwa na maendeleo na wala si kosa la WB au IMF ni kosa letu wenyewe. Ikumbukwe kuwa TZ ni nchi huru yenye wasomi wengi ambao wamesomeshwa kwa fedha nyingi na raslimali za nchi hii kwa ajili ya kulinda taifa hili. Kinachoendelea hapa ni kuwa mtu amesomeshwa na serikali lakini anatafuta faida yake binafsi na ndio maana tunakuwa na mikataba mibovu kila kukicha na mimi siamini kuwa elimu ya wantanzania ni ya kukariri bali ni elimu nzuri wanayoipata bali wamepoteza uzalendo kwa haya yanayoendelea ya chukua chako mapema. hawa IMF na WB hawatulazimishi, tunao uwezo wa kutengeneza sera na mipango mizuri kwa ajili ya taifa hili, lakini watu waliotutangulia (kwenye madaraka) hawatupatii huduma hii. Nani msomi asiyejua kuwa kuna mipango ya muda mfupi na mrefu kutokana na mabadiliko ya wingi wa watu na mazingira hadi ikawa kila mji na vijiji kukosa maji na umeme? unadhani hawajui kuwa baada ya kipindi fulani barabara za mji fulani zitashindwa kutoa huduma ipasavyo hivyo tuwe tunaweka akiba kidogo kwa ajili ya flyover? Ndugu zangu tusiwalaumu wazungu, sisi wenyewe ndo tunawapa mchongo jinsi gani tuiibie nchi hii! Ni upumbavu usio na kifani, na mimi (samahani lakini) nasema kuwa walioko kwenye madaraka wakihusisha mipango (iwe ya barabara, miji) ni wapumbavu na washenzi kuliko mtanzania yeyote anachimba viazi huko vijijini. Kumradhi nimeongea kwa hasira sana kwani inakera mno kuona mipango isiyo na miguu wala mikono inapishwa ikiwemo power tiller!
 
Back
Top Bottom