Mgodo Mgodoki
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,399
- 1,368
Kwanini una mdanganya mwezio? Maisha ya Katavi kama Dar kwa gharama ya vyumba, chumba kizuri kuanzia elfu 30, mpaka elfu 60 inategemeana na nyumba. Na pia kwa gharama ya nyumba sio chuma, pia bei inaanzia na laki na nusu kuendelea. Kiukweli hamna tofauti na Dar hata kwa bei kilo ya nyama. Tofauti yake na Dar ni waganga wa kienyeji bei zao ni ndogo sana tofauti na wa Dar. Nasema hivi kwa sababu ndio home na pia ni mmiliki wa nyumba mbili maeneo ya kotazi jirani na shule ya msingi kashaulili.
Ila katavi ni sehemu ya watu wanaupendo sana, na ukarimu wao ni wa dhati kutoka moyon.
a moyoni

Hivi Katavi si wale nyoka Koboko wapo?
Uwiiiii hata iweje siendi huko!
Salaam wana jukwaa.
Niliomba kazi kwenye kampuni flani iliyopo mkoani KATAVI,nimepata. Natakiwa kulipoti mwezi wa 11 mwishoni mwaka huu.
Binafsi sijswahi kufika katavi(mjini),hivyo ningependa kujua maisha ya katavi yapoje?Gharama ya maisha kwa maana ya Rent,gharama za vyakula,kama kuna taasisi za elimu au ya juu(branches na n.k) nature ya watu wa Katavi, huduma za jamii kama afya na n.k
Natanguliza shukrani zanagu.
Acha kumwingiza chaka na kumuogopesha mwenzako,Maisha ya Katavi yapo chini sana kuanzia Nyumba za kupanga mpaka Lodge. Lodge ambayo hapo Dar ungelipa elfu40 hapa Mpanda Mjini ni 15elfu mpaka 20elfu. Changamoto kubwa ya Katavi/Mpanda mjini ni Migahawa/Hoteli ya vyakula vizuri maana Migahawa ya huku ni ya kiwango cha chini sana na vyakula vyao ni wali na ugali,samaki,maharage na nyama tuu hakuna varieties. Na changamoto kubwa kupita yote iliyopo hapa Mpanda Mjini ni Umeme na Maji. Umeme unaweza kukatika hata siku tatu.
Lorge nzuri ni za mzee Hodari hapo mkoani katavi kama lorge elfu 15 mpaka elfu 20 na Dar Lorge shiling ngapi mkuu? Kama hujui mimi ni mtaalamu sana wa kujaza vitabu unatoka Dar una kwenda Dar. kismart Dar ni elfu 20 standard Safi kabisa burudani na ubaridi safi
nimeshaku pm ndugu
Kwanini una mdanganya mwezio? Maisha ya Katavi kama Dar kwa gharama ya vyumba, chumba kizuri kuanzia elfu 30, mpaka elfu 60 inategemeana na nyumba. Na pia kwa gharama ya nyumba sio chuma, pia bei inaanzia na laki na nusu kuendelea. Kiukweli hamna tofauti na Dar hata kwa bei kilo ya nyama. Tofauti yake na Dar ni waganga wa kienyeji bei zao ni ndogo sana tofauti na wa Dar. Nasema hivi kwa sababu ndio home na pia ni mmiliki wa nyumba mbili maeneo ya kotazi jirani na shule ya msingi kashaulili.
Ila katavi ni sehemu ya watu wanaupendo sana, na ukarimu wao ni wa dhati kutoka moyon.
a moyoni
Acha kumwingiza chaka na kumuogopesha mwenzako,Maisha ya Katavi yapo chini sana kuanzia Nyumba za kupanga mpaka Lodge. Lodge ambayo hapo Dar ungelipa elfu40 hapa Mpanda Mjini ni 15elfu mpaka 20elfu. Changamoto kubwa ya Katavi/Mpanda mjini ni Migahawa/Hoteli ya vyakula vizuri maana Migahawa ya huku ni ya kiwango cha chini sana na vyakula vyao ni wali na ugali,samaki,maharage na nyama tuu hakuna varieties. Na changamoto kubwa kupita yote iliyopo hapa Mpanda Mjini ni Umeme na Maji. Umeme unaweza kukatika hata siku tatu.
Shwari kabisa utapenda na hutatamani kuhama tena. Karibu sana katavi
Mkuu Katavi ni pazuri na mji unakua kwa kasi, uzuri wa pale makabila ni mchanganyiko sana sio sehemu ilojaa wazawa,Salaam wana jukwaa.
Niliomba kazi kwenye kampuni flani iliyopo mkoani KATAVI,nimepata. Natakiwa kulipoti mwezi wa 11 mwishoni mwaka huu.
Binafsi sijswahi kufika katavi(mjini),hivyo ningependa kujua maisha ya katavi yapoje?Gharama ya maisha kwa maana ya Rent,gharama za vyakula,kama kuna taasisi za elimu au ya juu(branches na n.k) nature ya watu wa Katavi, huduma za jamii kama afya na n.k
Natanguliza shukrani zanagu.
Na uanaweza kutana na mamba kwenye ndoo ya maji.
Ukitaka ugonjwa wa moyo omba ushauri JF :doh:
Mkuu bei ya mahindi kwa debe ikoje kwa sasa hapo katavi???