Mkoa ;MWANZAIpo
Mkoa: Mwanza
Wilaya: Misungwi
Nsumba High School, ni shule ya Kidato cha tano na sita tu. Ya wavulana pekee. Ipo wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza. Ni shule ya kulala. Ipo karibu sana na Shule ya Wasichana Nganza. Ni jirani pia na Chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT).Na me pia nahitaji more details about NSUMBA HIGH SCHOOL....kwa anae fahamu bc atumwaqie mapini.
Private message! PM...unamiaka mingapi? . yan hujui PM?!Nije PM sijakuelewa brother wangu!
Uongo ipo mwanza ,wilaya ya kwimbaIpo
Mkoa: Mwanza
Wilaya: Misungwi
Nije PM sijakuelewa brother wangu!
Hahahaaaaahaa. Hili jukwaa la elimu nalo kumbe lina stress free posts.Private message! PM...unamiaka mingapi? . yan hujui PM?!
Acha uongo...tangu lini ngudu ikawa wilaya ya misungwi!Ipo
Mkoa: Mwanza
Wilaya: Misungwi
inawezekana ni siku nyingi hajafika huko, msamehe bure. si kitambo sana misungwi ilikuwa ndani ya wilaya ya Kwimba, pengine ndio kilichomchanganyaAcha uongo...tangu lini ngudu ikawa wilaya ya misungwi!
Sawa mkuu.inawezekana ni siku nyingi hajafika huko, msamehe bure. si kitambo sana misungwi ilikuwa ndani ya wilaya ya Kwimba, pengine ndio kilichomchanganya
Shukrani mkuu.Nsumba High School, ni shule ya Kidato cha tano na sita tu. Ya wavulana pekee. Ipo wilaya ya Nyamagana, mkoani Mwanza. Ni shule ya kulala. Ipo karibu sana na Shule ya Wasichana Nganza. Ni jirani pia na Chuo cha Mtakatifu Augustino (SAUT).
Ukiwa Mwanza mjini, Unapanda magari yalioandikwa Sweya au Malimbe.
Ina tahasusi zifuatazo; HKL, HGK, HKL, PGM, PCM na PCB.
Ni moja kati ya shule nzuri sana Mkoani Mwanza.
Umepata Joining Instructions? Kama bado, naweza kusaidia.Shukrani mkuu.
[HASHTAG]#respect[/HASHTAG]
Pia nami nahitaji join Istructions ya Ngudu high school Mkuu... Please NsaidieUmepata Joining Instructions? Kama bado, naweza kusaidia.
Usijali Mkuu. Hii hapa nimeambatanisha.Pia nami nahitaji join Istructions ya Ngudu high school Mkuu... Please Nsaidie