Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,455 Reaction score 5,325 May 16, 2022 #21 mi_mdau said: Inasemekana sio waaminifu kama wajapani, so gari zao kadhaa hazina ubora. Wanacover hayo madudu na body nzuri (au mwonekano). Click to expand... Ooh ok asante kwa kunifahamisha
mi_mdau said: Inasemekana sio waaminifu kama wajapani, so gari zao kadhaa hazina ubora. Wanacover hayo madudu na body nzuri (au mwonekano). Click to expand... Ooh ok asante kwa kunifahamisha
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,027 Reaction score 14,921 May 17, 2022 #22 RRONDO said: Wewe ni mmoja wa wachache waliobahatika. Ipo siku utaelewa kwanini watu wanatoa angalizo na magari ya Singapore. Click to expand... Sure. Nikiri kusema nilibahatika.
RRONDO said: Wewe ni mmoja wa wachache waliobahatika. Ipo siku utaelewa kwanini watu wanatoa angalizo na magari ya Singapore. Click to expand... Sure. Nikiri kusema nilibahatika.
T Theodor herzl Member Joined Nov 10, 2021 Posts 95 Reaction score 225 May 17, 2022 #23 RRONDO said: Wewe ni mmoja wa wachache waliobahatika. Ipo siku utaelewa kwanini watu wanatoa angalizo na magari ya Singapore. Click to expand... Vp unande kwa gari za south kaka pick up mf.hulux ziko nyingi na bei nzuri tofauti na japan, singapore na Thailand. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
RRONDO said: Wewe ni mmoja wa wachache waliobahatika. Ipo siku utaelewa kwanini watu wanatoa angalizo na magari ya Singapore. Click to expand... Vp unande kwa gari za south kaka pick up mf.hulux ziko nyingi na bei nzuri tofauti na japan, singapore na Thailand. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
RRONDO Platinum Member Joined Jan 3, 2010 Posts 60,088 Reaction score 137,955 May 17, 2022 #24 Theodor herzl said: Vp unande kwa gari za south kaka pick up mf.hulux ziko nyingi na bei nzuri tofauti na japan, singapore na Thailand. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app Click to expand... SA sina uzoefu nao.
Theodor herzl said: Vp unande kwa gari za south kaka pick up mf.hulux ziko nyingi na bei nzuri tofauti na japan, singapore na Thailand. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app Click to expand... SA sina uzoefu nao.
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,497 Reaction score 17,560 May 17, 2022 #25 Ndoa ya kikristo + chembe cha moyo na pia usiwe na hela ya mawazo
Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,497 Reaction score 17,560 May 17, 2022 #26 Theodor herzl said: Vp unande kwa gari za south kaka pick up mf.hulux ziko nyingi na bei nzuri tofauti na japan, singapore na Thailand. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app Click to expand... Uzuri wa SA unaweza kuchukua mwewe chap ukaenda kununua gari then ukarudi nayo mdogo mdogo! Unaikagua huko huko kabla ya kuichukua
Theodor herzl said: Vp unande kwa gari za south kaka pick up mf.hulux ziko nyingi na bei nzuri tofauti na japan, singapore na Thailand. Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app Click to expand... Uzuri wa SA unaweza kuchukua mwewe chap ukaenda kununua gari then ukarudi nayo mdogo mdogo! Unaikagua huko huko kabla ya kuichukua
H Hofumoyoni Member Joined Nov 28, 2019 Posts 71 Reaction score 99 May 18, 2022 Thread starter #27 RRONDO said: Volvo ni gari ngumu sana. XC60 ina sifa zote za Volvo. Kuna engine maarufu mbili T5 na T6 Click to expand... Vipi kupitishwa rough road inastahimili au ni kwa ajili ya lami tu?
RRONDO said: Volvo ni gari ngumu sana. XC60 ina sifa zote za Volvo. Kuna engine maarufu mbili T5 na T6 Click to expand... Vipi kupitishwa rough road inastahimili au ni kwa ajili ya lami tu?
H Hofumoyoni Member Joined Nov 28, 2019 Posts 71 Reaction score 99 May 18, 2022 Thread starter #28 Nauliza hili kwa kuwa shughuli zangu nyingi napita mashambani ambako barabara ni changamoto kubwa
mlima wa mizeituni JF-Expert Member Joined Sep 7, 2019 Posts 1,385 Reaction score 2,460 May 20, 2022 #29 Hofumoyoni said: Nauliza hili kwa kuwa shughuli zangu nyingi napita mashambani ambako barabara ni changamoto kubwa Click to expand... Hapa itategemea na kiwango chako cha kutunza gari! Wengi wetu kutunza gari hatuwezi! Siku chache tu mara bampa limefungwa screws kibao, ribit kila kona, vichaka vimekwaruza rangi ubavuni hadi kero.. Kama utunzaji wako ni wa hali/kiwango cha juu, nunua tu mkuu!!
Hofumoyoni said: Nauliza hili kwa kuwa shughuli zangu nyingi napita mashambani ambako barabara ni changamoto kubwa Click to expand... Hapa itategemea na kiwango chako cha kutunza gari! Wengi wetu kutunza gari hatuwezi! Siku chache tu mara bampa limefungwa screws kibao, ribit kila kona, vichaka vimekwaruza rangi ubavuni hadi kero.. Kama utunzaji wako ni wa hali/kiwango cha juu, nunua tu mkuu!!