Cathode Rays
JF-Expert Member
- Nov 3, 2011
- 1,738
- 1,495
Kwa kiroho safi kabisa, ama kwa hakika sikukutilia shaka lakini sikuona namna gani utalimudu genge la majambazi ya mali za Umma yaliyokuwa yakihifadhiwa na chama chako cha CCM
Kwa speed uliyoikamata sasa sina mashaka tena, Majambazi haya yalinifanya nikiangalia yale malaki mengi ninayolipa kwenye mshahara wangu kama kodi ya pato (PAYE) pamoja na kodi ya ongezeko la thamani (VAT) nikiwa naumia sana
Najua uliahidi kupunguza PAYE kwa sisi wafanyakazi....ila kwa sababu liko tumaini la kodi yangu kutumika vizuri, hata ukiamua kutokupunguza PAYE sawa tu.
Tatizo sio wananchi hatupendi kulipa kodi, tatizo tukishailipa ilikuwa inaenda kunufaisha matumbo ya wachache wenye nacho zaidi na pia wasiolipa kodi. Nimekuelewa na hongera....piga kazi baba, piga kazi mwana wa Afrika, Mwana wa Tanzania
Piga kazi Mwamba tuko nyuma yako wananchi wabangaizaji hata kama majambazi hayako upande wako