Jana raisi alizindua sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2015.
Kwa mujibu wa raisi, sera hiyo inalenga kuboresha elimu, baada ya kufanikiwa kupanua elimu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisema kwamba sera hiyo inalenga kuwapa Watanzania maarifa ili kuchochea mpango wa maendeleo 2010 - 2025, wa Tanzania kuwa na uchumi wa kati.
Nimeitafuta sera hiyo kwenye tovuti ya wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, tovuti hiyo haifunguki, "Ministry of Education and Vocational Training This site is down for maintenance. Please check back again soon. Tovuti inafanyiwa marekebisho. Tafadhali iangalie tena muda sio mrefu".
Naomba mwenye sera hiyo aiweke humu ili wadau wengi tuangalie namna ya utekelezaji wake.
Hiyo Sera Mpya Nakuhakikishia Kuwa Itadumu Kuanzia Mwezi Huu February Hadi November 2015 Nikimaanisha Kwamba Ni Ya Kisiasa Zaidi Na Kulenga Kupata Umaarufu Na Ushindi Wa Kisiasa Kutoka Kwa Wale Wenye Uelewa FINYU na HABA. Chezea Revolutionary Party Wewe!
Mkuu mimi pia nina hisia hizo. Hakuna utekelezaji baada ya November.
Jana raisi alizindua sera mpya ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2015.
Kwa mujibu wa raisi, sera hiyo inalenga kuboresha elimu, baada ya kufanikiwa kupanua elimu.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi alisema kwamba sera hiyo inalenga kuwapa Watanzania maarifa ili kuchochea mpango wa maendeleo 2010 - 2025, wa Tanzania kuwa na uchumi wa kati.
Nimeitafuta sera hiyo kwenye tovuti ya wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, tovuti hiyo haifunguki, "Ministry of Education and Vocational Training This site is down for maintenance. Please check back again soon. Tovuti inafanyiwa marekebisho. Tafadhali iangalie tena muda sio mrefu".
Naomba mwenye sera hiyo aiweke humu ili wadau wengi tuangalie namna ya utekelezaji wake.
HABARI WANA JUKWAA, BILA SHAKA NYOTE MNA AFYA NJEMA. SERA YA ELIMU ILIYOZINDULIWA JANA NA MHE: RAIS HII HAPA
SERA2.pdfView attachment 226854
Ulikua sahihi. sasa hivi Ndalichako ameiweka kapuniHiyo Sera Mpya Nakuhakikishia Kuwa Itadumu Kuanzia Mwezi Huu February Hadi November 2015 Nikimaanisha Kwamba Ni Ya Kisiasa Zaidi Na Kulenga Kupata Umaarufu Na Ushindi Wa Kisiasa Kutoka Kwa Wale Wenye Uelewa FINYU na HABA. Chezea Revolutionary Party Wewe!
mmhHiyo Sera Mpya Nakuhakikishia Kuwa Itadumu Kuanzia Mwezi Huu February Hadi November 2015 Nikimaanisha Kwamba Ni Ya Kisiasa Zaidi Na Kulenga Kupata Umaarufu Na Ushindi Wa Kisiasa Kutoka Kwa Wale Wenye Uelewa FINYU na HABA. Chezea Revolutionary Party Wewe!