Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,188
- 9,165
Wadau hamjamboni nyote?
Naomba mwenye Soft copy ya Novena anipatie.
Ni muhimu sana.
Shukrani.
Naomba mwenye Soft copy ya Novena anipatie.
Ni muhimu sana.
Shukrani.
Mtakatifu kashiaNovena ya mt. Nani??
Naomba Kwa ufupi namba ya kuisoma
Ritha wa KashiaMtakatifu kashia
Kaomba kitabu nimempa.Nimefika hapa anataka maelekezo yapi