Naomba sample ya barua ya mdhamini

mwantui

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
1,639
Reaction score
846
Wakuu naomba mwenye sample ya barua ya mdhamini au maelezo ya jinsi ya ku draft barua ya udhamini..natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Husika na kichwa hapa juu,

Mimi Mto Lyandembela1 nathibitsha kuwa ninamfahamu vyema mwantui akiwa rafiki na mwanachama mwenzangu wa jamii forum. Naomba ashughulikiwe katika kile atakacho hitaji kuoka kwako.

Aksante sana.

Mto lyandembela1
 
Last edited by a moderator:
jaman naomba kujua nafasi kazi zinapatiakana katika nutritonal field
 
Nilikuwa napita tu ikabidi nisimame kidogo nisikilize
 
jaman naomba kujua nafasi kazi zinapatiakana katika nutritonal field
Ninge elewa swali lako, bilashaka ningekusaidia aiseeee......
Auliweke swali lako vizuri, nikirudi nitapitia nione kama nitakuelewa
 
Husika na kichwa hapa juu,

Mimi Mto Lyandembela1 nathibitsha kuwa ninamfahamu vyema mwantui akiwa rafiki na mwanachama mwenzangu wa jamii forum. Naomba ashughulikiwe katika kile atakacho hitaji kuoka kwako.

Aksante sana.

Mto lyandembela1
Ahudumiwe kutoka.......pia ni njema ukiingiza hapo na ukatoa neno ashughulikiwe
 
Duh!
Wabongo acheni kuaibisha Elimu ya Bongo. Hii inamanisha mnakalili na sio kuelewa.

Hakuna haja ya kuona barua ya Udhamini ndio uelewe (Huku ni kukalili). Barua ya udhamini ni barua rasmi, hivyo unapaswa kuelewa na kutumia fomati ya barua rasmi ktk kuandika barua ya udhamini ikiwa na maudhui ya udhamini. Hakuna haja ya kukalili!!!
 
Husika na kichwa hapa juu,

Mimi Mto Lyandembela1 nathibitsha kuwa ninamfahamu vyema mwantui akiwa rafiki na mwanachama mwenzangu wa jamii forum. Naomba ashughulikiwe katika kile atakacho hitaji kuoka kwako.

Aksante sana.

Mto lyandembela1
Mto Lyandembela Ifunda Iringa.
 
Hakuna neno la kiswahili "kukalili" ni kukariri
 
Write your reply...unataka kujifanya unajua kila kitu sio kukalili ni "kukariri"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…