Pb5 ni hatari mzee... Toto la Scofield nalo litaalam la kuzichora codes km dingi yake... Yaani ingekuwa ni true living characters, yule dogo angekuja kusumbua dunia
T-Bag mnyama akakutanishwa na mwanae ambaye alifungwa Yemen gereza la Ogygia na Scofield, wakatoroka wote
Msemo wangu bora ni ule wa kwenye code ya mchoro wa jicho "NEVER INTERUPT WHEN YOUR ENEMY IS DOING MISTAKES"
Mzee itafute ipo vizuri sana