Nimejaribu kutafuta pdf writer lakini nimeshindwa kupata; Nilijaribu kwenda kwenye website yao kudownload trial version ili nianze kusaka key lakini ilinigomea kudownload. Naombeni mwenye nayo atuwekee hapa. Natanguliza shukrani.

kama hujafanikiwa ni email kwa rprosperr@yahoo.com nikutumie nitro pdf reader you will real enjoy it, ina uwezo
wa kuediti hata pdf ulizonazo. installation haihitaji keys wala locks.