Thl upande wa pure science kwa advanced level wamepuyanga kinoma. Notsi zao hazipo mzuka kivile yan hasa kwa phyzcx, chemistry, bios na pure maths. Mkuu chemistry tafuta Vitini vya NGAIZA. Physics nunua S.Chands class xi na xii. Bios ni BS. Usisahau kutafuta past papers hasa za kuanzia 2014 hadi 2018. Piga topic piga na necta type qnsDownload thl app utazipata zote huko
CBGMembers kwa mwenye notes za advance form five na form six za Geography, Biology na Chemistry. Naomba
Thl upande wa pure science kwa advanced level wamepuyanga kinoma. Notsi zao hazipo mzuka kivile yan hasa kwa phyzcx, chemistry, bios na pure maths. Mkuu chemistry tafuta Vitini vya NGAIZA. Physics nunua S.Chands class xi na xii. Bios ni BS. Usisahau kutafuta past papers hasa za kuanzia 2014 hadi 2018. Piga topic piga na necta type qns
Kiongozi nakuheshimu sana ujue na naheshim mawazo yako. Nn utoto wangu hapo. Kama wew hupendezw na maon yangu naomba uyapinge kwa HOJA na SIO VIOJAHizi shule zifunguliwe mrudi shule mtuachie Jf yetu... Ndo umeandika nini hapo sass, ina maans umekosa kiswahili kizuri cha kutumia mpaka utuandikie lugha ya watoto wenzio