Am a star
Senior Member
- Sep 22, 2015
- 167
- 158
Wakuu!
[bado nipo katika biashara ya kuuza Muda]
Kwa sasa nipo Iringa unaweza kunitumia kwa kazi yako yoyote halali katika mkoa ambao huwezi kufika kutokana na majukumu yako kua mengi.
- Ikiwa unataka kulima msimu unaoanza november unahangaikia kukodi mashamba.
- Ikiwa unahitaji kununua mazao/matunda/ mkunungu na kuagiziwa.
- ikiwa unajambo lolote la kufuatilia kwa haraka.
- ikiwa unawageni wako mkoa huu na unataka niwaandalie mazingira kabla hawajafika.
- kama unamzigo wako unahitaji niupokee na kuufikisha sehemu husika hii ni kwa Iringa tu.
Na kila shughuli iliyo halali kwa nilipo Dodoma nafika kwa urahisi, Mbeya, Morogoro, nk
Kumbuka utalipia huduma
Njoo whatsapp 0693354479 tufanye kazi.
Uaminifi 100% chochote kisicho halali hakinifai.
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app