...naomba niwasabai...

...naomba niwasabai...

ojoromong'o

Senior Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
100
Reaction score
44
Habari zenu wana-janvi,ni matumaini yangu afya zenu Mungu ameendelea kuzilinda na kwa waleambao hawajisikii vizuri ninaimani kwa uwezo wake atawarehemu.

Salaam maaluma naomba ziwafikie wale tu...1.wazalendo wa kweli 2.wapenda/wapigania mageuzi,3.watetezi wa wanyonge,4.wapinga dhuluma za aina zote(rushwa,ufisadi,unyanyasaji,ukandamizaji hasa wa demokrasia na haki za binadam nk).Hapa nakusudia makamanda wote wa chama kilicho beba matumaini ya watanzaia "CHADEMA" .

Ujio wangu hapa JF umelenga kuendeleza mbele gurudumu la ukombozi wa kifikra.Naamini katika ukweli na hoja zenye mashiko, ninachukia sana tena sana uongo na hoja mregezo zinazotumiwa na watu dhaifu ili kuficha udhaifu wao.

...tabia asili ya ukweli huwa haujifichi na nia njema ushinda kabla...salam hii iwafikie wale wanaofikiri kuwa wananguvu ya kuendelea kuikandamiza haki...
...HODI!...
 
Karibu mkuu,ila mie wa chama cha mabwepande!

Hahahahah nishatafakari sana na nimefikia maamuzi hayo,nasubiria kupewa viti maalum! Ww ndo uje huku utakufa njaa kijana mjin mipango lol
...bado unao muda wa kutafakari kama unastahili kuwa uko uliko sasa...
 
Hahahahah nishatafakari sana na nimefikia maamuzi hayo,nasubiria kupewa viti maalum! Ww ndo uje huku utakufa njaa kijana mjin mipango lol
...mimi sio bidhaa ya kuweza kununuliwa kwa fedha au ahadi ya cheo...mkuu jitambue kabla halijachwa...
 
Hahahahah dogo bana,kwahiyo unasema nape kanunuliwa? Stuka mapema ,utakula kujitambua? Shaurilo
...mimi sio bidhaa ya kuweza kununuliwa kwa fedha au ahadi ya cheo...mkuu jitambue kabla halijachwa...
 
Hahahah naona ushakuwa mwenyeji hamia chit chat sasa!

...ok chit chat naweza ingia lakini sio chaguo langu hasa, kama utakuwa umenisoma vizuri umeisha yaona macho yangu yalipo-elekea na uko ndo ninako enda...
 
Back
Top Bottom