mapengo junior
JF-Expert Member
- Jun 28, 2011
- 1,135
- 276
Habari wana MMU.
Kijana mwenzenu yananisibu haya.
Nina mpenzi wangu ikifika october 24 tunatimiza mwaka mmoja, ila kuna kitu nashindwa kumuelewa, wakati tunaanza mahusiano alikuwa hamalizi wiki moja anakuja home kwetu.
Siku zilivyozidi kwenda akapunguza kuja kwetu nikimuuliza anasema eti anaona aibu watamchoka home, mimi nikamwambia wakikuchoka, mimi c wao akasema haya atabadilika.
Baadae akarudia tena sasa imekuwa kubwa kuliko yaani tangia tuonane tar 28.04.2014 mpaka leo hatuja onana tunaongea kwa simu na msg tuu.
Nikimuuliza majibu hana, anasema hata yeye anashangaa eti hajui kwa nini hatuonani, cha kushangaza anadai eti ananipenda na anataka niwe mumewe mungu akipenda.
Ila me naona haoneshi ukweli kwa hayo maneno anayosema.
Je ni kweli wapenzi mnaweza mkakaa zaidi ya miezi 3 msionane tena hapahapa dar?
Kama inawezekana hivi sababu inaweza ikawa nini?
kama haiwezekani je kuna mapenzi ya kweli hapa?
Pliiz toa ushauri kama unaona umeguswa si vema kutukana.
Nawasilisha.