Naomba nisaidiwe washauri wa mambo ya biashara na uchumi, nawapata wapi?

Mimi pia kuna kipindi nilihitaji sana hii huduma esp financial adviser...nikaamua kuzama tu mwenyewe kusaka machimbo...!
 
Unaweza kuniuliza hapa na nitajitahidi kukusaidia kadri ya uwezo wangu, ikibidi tutatafuta namna ya kukutana kwa nafasi pana zaidi, mm ni mtaalam kiasi changu na uzoefu pia kwenye uwekezaji wa Fedha(Financial Management and Investments), Biashara (hardware, transport, Microfinance n.k)
 
Kwa mtu ambaye hajawa fanya biashara ,unaweza mshauri vipi.
 
Kama anapenda kufanya biashara, atafute fursa zilizopo na rasrimali anazoweza kupata na KUANZA TU kwa namna yeyote anzia padogo ukilenga PAKUBWA hakika atafika.
 
Unaweza kuniuliza hapa na nitajitahidi kukusaidia kadri ya uwezo wangu, ikibidi tutatafuta namna ya kukutana kwa nafasi pana zaidi, mm ni mtaalam kiasi changu na uzoefu pia kwenye uwekezaji wa Fedha(Financial Management and Investments), Biashara (hardware, transport, Microfinance n.k)

Mkuu naomba nikuone pm pia
 
Back
Top Bottom