Cheology
JF-Expert Member
- Jun 25, 2022
- 384
- 606
Vita ya urusi na ukrane Finland ametunisha msuli hii imekaaje.
Hivi majuzi baada ya piga ua kule Ukraine, NATO imejidhatiti na kutoa misaada ya silaha na pesa Kwa ukrane. Hata hivyo bado Ukraine anaendelea kupata kipigo....
Binafsi sishabikii maana mauaji si ya kuchekelea. Sweden na finland wamejitambulisha kutaka kujiunga na NATO. Finland hajaishia hapo. Ameanza na mazoez hii Kwa Russia ni uchokozi wa kile ambacho alijaribu kufanya ukrane na ameshachezea kipigo. Je huu wa finland kuaza mazoez sio uchokozi?,inamaana Finland ameamua kujitoa mhanga??
Tukumbuke Russia anaweza akatuma Nuclear bomb 💣
Mbona sweden amekaa kimya??
Finland analingia nini??
Nawasilisha.