Naomba neno Moja la kunipa nguvu

  • Thread starter Thread starter guest-1793390367
  • Start date Start date
Naogopa kukudanganya ila ata ata dah nashindwa kabisa ngoja nikae tu kimya
 
Neno moja kwangu la kunipa nguvu.

Mpenzi wangu kapata kazi Dar na mimi niko Kigoma.

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Ili isikuume sana, tafuta kadem haraka hapo K town uanze kukachapa ili by the time yeye anakuja kukupiga chini ujipe moyo kwamba wewe ndio ulianza..
 
Mpenzi wangu alienda Dar kusoma,semester ya 1 tu mimba pamoja na mapenzi na maonyo kibao niliyotoa kwake.

Mpaka sasa sitaki kusikia et mpenzi wa kuoa.


Sijui utafanyaje?
 
Neno moja kwangu la kunipa nguvu.

Mpenzi wangu kapata kazi Dar na mimi niko Kigoma.

[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Usikute hata kazi aliyokwambia ni uongo.
Ila huwa nawaamini baadhi ya waha kwa uvumilivu. Sijui huyo wako itakuwaje.
 
Distant love doesn't work. Ni swala la muda tu kabla mawasiliano hayajaanza kupungua na mwisho kukata kabisa. Ikifika hatua hiyo jua KARAGABHAO....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…