Wakuu nawasalimu. Tafadhali naomba mwenye namba za Tanzania Breweries makao makuu anisaidie. Zote nilizopata kwenye mtandao hazipatikani. Na ninashangaa pia kwa nini TBL hawana website yao.
Mkuu ukifanikiwa kuwasiliana nao...waambie watuwekee na bia za HALICHACHI...Yaani mtu awe anaxhagua tu kuwa alewe siku ngapi! Kama vile KIFURUSHI CHA WIKI,SIKU au MWEZI..