kingphisher
Senior Member
- Nov 30, 2024
- 155
- 275
networker??? Network specialist,network engineer etc hizo ndio terms sahihi
kama hauna cha kusaidia kaa kimya, hacha ujuajinetworker??? Network specialist,network engineer etc hizo ndio terms sahihi
kama hauna cha kusaidia kaa kimya, hacha ujuaji
Upo sahihi kabisa hayo mambo yanataka sana utendaji zaidi, Pambania usichoke Mungu atafungua njia..
Yah Maisha yanataka sana kupambana nina brother wangu yeye kwa ishu za shule hakukomaa kabisa alivyomaliza kidato cha 4 akafanya driving course, jamaa alikuwa anapenda sana kuendesha tax yani acha kabisa siyo bus au truck.Amina sana mkuu. ngoja niendelee kutafuta, naamini ipo siku nitapata
Habarini wakuu.
Nimekuwa nikija humu kuomba hizi nafasi za kujitolea upande Wa IT. wakuu natamani niwe expert Wa computers networking installation and configuration lakini bado sijapata nafasi ya kazi ya networking. Chuoni tumesoma slides na theories za kutosha, hali ambayo haijanijengea uwezo wa kujiita networker.
Ombi langu: Naomba kwa wale wennye makampuni Binafsi, au watu ambao wana projects za networking, au mtu yeyote anayeweza kunisaida kupata nafasi basi anisaidie kuwa part of their networking team.
Nataka niwe na experience ya kutosha, lakini kama mnavyojua experience inapatikana site na sio kwenye makaratasi. Naombeni wakuu.
Am not limited to comouter networking, other IT tasks pia naweza kufanya isipokuwa programming/coding/developed.
Nipo Dar Es Salaam wakuu.
Wale wale...kama hauna cha kusaidia kaa kimya, hacha ujuaji
Ww ndio tahira huelewi Kama hata kutaja jina la kazi yake kwa usahihi hawezi unafikiri akienda kwenye interview atatoboa?kama hauna cha kusaidia kaa kimya, hacha ujuaji
Tunahitaji Mwl wa computer lakini pia awe na uwezo wa kazi za technician (Installation, networking graphics,support and computer services) Tuwaliane---0717157640 /0754469894Habarini wakuu.