nenda shule ulipomalizia kidato cha sita watakupatia mkuu..Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?
Rudi kwenye shule uliosoma tu unakipata bila chenga.. Ila kama uliacha madeni ukakimbia ujue huna bahati , lazima watakulipisha ndo upewe cheti... Wala havina complications kabisa...Wadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?
thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?Nenda shuleni ulikosomea japokuwa kuna uwezekano kuwa kilisharudishwa pale Bamaga
Hata umuagize mbunge hapewi. Cheti ni chako lazima ukachukueckwa mkono wako kwa maana ukikabidhiwa lazima udondoshe signature kuthibitisha kua umechukua... Wasiliana na shule yako ujue kama hakijarudi bamaga.thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
Nenda mwenyewe kakifuate! Na hili sekeseke za watumishi hewa na vyeti feki unataka kumtuma mtu tena akakuchukulie orijo? Kwanza huyo utakayemtuma hawezi kupewathanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
Kama hudaiwi chochote nenda tu kufuata cheti japo unaweza enda na kitambulisho chochote. Huwa hakuna complications zozote kama huna deni.thanks..sasa ntajuaje?na natakiwa kwenda na nini ili nijue vya kuandaa..sina deni nilisoma shule ya Serikali ada was sawa na bure...kama ni mkoa naweza muagiza mtu?
Anzia primaryWadau ...kufuatia huu mhemko wa vyeti nami inanilazimu nikifatilie cheti changu cha kidato cha sita cha mwaka 2003.nilisoma huko Mkoani Mbeya tho mi ni mkazi wa Dar kule nilienda kielimu tu..baada ya kumaliza shule nilichukuaga tu Result slp ambapo niliendelea na elimu za juu ..na kuajiriwa kwa kutumia result slp kama cheti cha kidato cha sita..cha form four na vyuoni ninavyo.so kwa miaka hii ilivyopita natakiwa kuanzia wapi?