Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
Wana jamvi nimekuwa msomaji sana wa hapa MMU for 3 yrs! now nimeamua kuingia mzima mzima nami nichangie lol jamani. Naomba mwenyeji hapa anitembeze na kunipa miiko ya hapa!:msela:
Karibu hot pare...ila mi mwenzio niliingia humu kimya kimya tu kwa kuchangia post za watu weeee na kulike...mimi sio mtaalam sana wa kutoa mada ila here i am..nipo mjengoni tunasonga mbele na naenjoy kuwa humu ndani maana huwa nacheka weee had naumia mbavu...KARIBU SANA. π