Naomba mwenye game nzuri za mpira

issakwisa6810

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
309
84
Mm nimpenzi wa game za mpira wa miguu za kwenye simu za ándroid kama kuna mtu anazo nzuri naomba aniwekee link ya games zenyewe hasa za fifa asante
 
Ndiyoo...dream league soccer ndio lenyewe
Easy game controls
Unaanzisha kikosi chako mwenyewe kadri unavyoendelea vizuri unaweza kupandishwa daraja ...
Ukifika elite division ndio daraja la vibonde
Unaweza kuwa na mchezaji yoyote unayemtaka as long as una coins za kutosha kununua
 
Pro Evolution Soccer PES 2018 ndo mwisho wa yote
kwa gamers hii ndo yenyewe kuanzia graphics, 100mil rewards yaan unaweza kucheza usiku kucha.... hiki ni kikosi na records zangu
Screenshot_20180509-153358.jpg
Screenshot_20180509-153415.jpg
Screenshot_20180509-153508.jpg
 
Back
Top Bottom