Naomba mwenye CV ya Afande Sele

NZURI PESA

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
5,958
Reaction score
2,966
Habari wadau,

Naomba mwenye CV ya Afande Sele tafadhali.
 
Pia leteni historia ya ACT tangu ilipopokonywa kwa mwenyekiti halali na kubadilishwa jina, katiba na bendera..
 
Zito na Mukumbo wanamuogapa huyo jamaa kuliko maelezo, kwasababu anawambia ukweli kuwa act ni mamluki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…