Jamani eeeh, kama kuna mtu anahitaji kujumuika na ndugu, jamaa na marafiki katika msimu huu wa sikukuu asinisahau na mimi.
#kataa_kuwa_kaa
#uzalendo_ni_kupeana_mialiko
Karibu hapa mtaa wa Kongo tunauza mashati kutafuta riziki na mwisho wa siku utapata msosi safi kutoka kwa wamama wanaotuleteaga Chakula mida ya mchana
Ni waelewa hata kwa mkopo wanakupa ila uwe mwaminifu kesho ukiuza kumbuka kulipa deni
Maisha yetu ni mazuri tu na tunafurahia