Naomba muongozo wa kupata kadi ya UVCCM

Naomba msaada wa kupata kadi ya UVCCM.

Ahsanteni.

Ccm mbele kwa mbele
Naona umeamua kuchokoza tu ili watu waseme. Ina maana wewe umeshindwa kwenda hata kwa mwenyekiti wako wa CCM wa mtaa/kijiji ili akuelekeze utakapoipata hiyo kadi?
 
Kazi kweli kweli....si uende Makao Makuu ya Chama au Ofisi ndogo ya chama Lumumba.
 
Naomba msaada wa kupata kadi ya UVCCM.

Ahsanteni.

CCM mbele kwa mbele
Mwenyekiti wako kesha ziondoa kwenye system ya CCM. Kanunue tu ile kubwa.kabisa ili uwe fisi mkubwa
 
Kadi ya UV CCM haitolewi Kama unanunua Condom Pharmacy

Tuna Pima Uadilifu, Uzalendo, busara, hekma, kujitolea, uzalendo na Uajibikaji na tukiridhika ndio tunaanza Mchakato.

Upo Mkoa gani?
 
Back
Top Bottom