Naomba muongozo wa hili

chankele kigoma

Senior Member
Joined
Jan 12, 2017
Posts
199
Reaction score
121
Nimatumaini yangu kuwa amani imejaa hum jf

Nina rafiki yangu yuko Guinea anahitaji kuja kunitembelea hapa nchini hivo inahitajika barua ya mwaliko (invitation letter) ili aweze kupata VISA na kuweza kupanga safari ya kuja Tz

Hivo basi Mimi sijui nianzie wapi ili niweze kukamilisha hatua za kumuandikia barua hiyo ya mwaliko
Naomba kwa wenye kujua taratibu hizo mnipe muongozo kwa hili

Naamini jf mioyo mikujufu daima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…