sharti kuu , hasira peleka kwenu, lower your expectations ukiandika uzi ukachuniwa usipanic, ipo siku utaandika uzi wa kijinga utapata likes kibao, huku viongozi wana majina yao maalumu ukiwataja openly shauri yako labda uwe unaishi US, kama mtu humjui jina mwite , muugwana, wanabodi, mkuu, au wakuuu, nifupi JF ni kama genge la walozi, maana humu kuna waabudu mashetani, wachamungu, wenye akili , punguani, wazee wa chubwi chubwi , ni wewe tu ukijitoa fahamu tutakutia adabu pia