Naomba Mungu Watu wema wasiuawe Kwa Kusingiziwa Ujambazi au Majibizano ya Risasi

TL. Marandu

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
3,625
5,810
Hii Tabia ya Polisi Kwenda Majumbani kwa Watau wakidai kwenda Kuwakamata bila hata watu wenyewe kuwa na Taarifa, na Pia Bila Polisi wenyewe Kuwa na Uniform, Nembo, pamoja na Gari za Jeshi la Polisi huku wakiwa na Silaha nzito. Na Kauli ya Kunyang'anganya Majambazi silaha haraka haraka.

Naomba Mungu isitumike kuuwa watu kuwasingizia ujambazi au majibizano ya Silaha Kama ilivyowahi Kutokea huko nyuma. Mauaji Mengine ambayo yalikuwa na Sura za Kisiasa.

Mimi Nashauri Hii Tabia ya Polisi, Kuzingira Nyumba za Watu mathalan wanasiasa nk watu ambao unaweza kuwapigia simu na wakaja kituoni, hii Tabia itakuja Kutoa Mwanya wa Watu kudhulumiwa Uhai wao Kinyume na Matakwa ya Serikali, Na Baadaye Serikali na Watanzania tutaletewa habari za Kupikwa. Najua asilimia kubwa ya Askari Polisi wana Utu, Nidhamu na Uaminifu, lakini hilo lisitupe imani ya Kutengeneza mianya ya hujuma.

Kama Mtu Sio Jambazi, Hajamdhuru yeyote Kimwii, Sio Gaidi, Mnajua jinsi ya Kuwasiliana naye, ACHENI KUZINGIRA NYUMBA, NA OFISI ZA WATU, AU KUFUKUZA GARI LA MTU AMBAYE HATA HAJUI KUWA ANAHITAJIKA NA POLISI, HUKU WANAOMFUKUZA HAMNA HATA UNIFORM, HUKU NI KUJENGA MAZINGIRA YA MAUAJI NA BAADAYE TUTALETEWA HADITHI ZA AJABU, "LILIKUWA JAMBAZI, AU KAMA NI MTU ANAJULIKANA, TULIENDA NYUMBANI KWAKE, WALINZI WAKE WAKATUSHAMBULIA KWA RISASI, LAKINI KWA BAHATI MBAYA RISASI MOJA IKAMPATA YEYE, NA TUNAWASHIKILIA WATUHUMIWA WAWILI WANAOSADIKIWA KUWA WALINZI WAKE, PICHA ZAO HIZI HAPA"

bushmen.hunters.558x842.jpg

Nilihisi Kabla ya Uchaguzi kuwa Tabia na Kauli za Ukiua Jambazi, Hakuna hatia wala Uchunguzi ni za Hatari. Kwamba Nataka Jambazi akivamia mahali na silaha asikabiliwe hapana, Nia yangu Sitaki hii iwe nii Kauli Mbiu au Operesheni kama ya "Tokomeza" Ambayo itatumiwa kwa Kisingizio. Au na Watu wenye Nia mbaya ya Kuangamiza Maisha ya watu fulani. Sijakurupuka na Kusema haya yameshatokea Mara Nyingi.
 
Mnazo bunduki, na risasi za kutosha, kwanini mnashindwa kuwanyanganya majambazi bunduki? Na askari atakaye mnyanganya jambazi bunduki asishitakiwe, apandishwe cheo... Mhhhhh. Hiyo kauli mmeielewa?
 
Hii Tabia ya Polisi Kwenda Majumbani kwa Watau wakidai kwenda Kuwakamata bila hata watu wenyewe kuwa na Taarifa, na Pia Bila Polisi wenyewe Kuwa na Uniform, Nembo, pamoja na Gari za Jeshi la Polisi huku wakiwa na Silaha nzito. Na Kauli ya Kunyang'anganya Majambazi silaha haraka haraka.

Naomba Mungu isitumike kuuwa watu kuwasingizia ujambazi au majibizano ya Silaha Kama ilivyowahi Kutokea huko nyuma. Mauaji Mengine ambayo yalikuwa na Sura za Kisiasa.

Mimi Nashauri Hii Tabia ya Polisi, Kuzingira Nyumba za Watu mathalan wanasiasa nk watu ambao unaweza kuwapigia simu na wakaja kituoni, hii Tabia itakuja Kutoa Mwanya wa Watu kudhulumiwa Uhai wao Kinyume na Matakwa ya Serikali, Na Baadaye Serikali na Watanzania tutaletewa habari za Kupikwa. Najua asilimia kubwa ya Askari Polisi wana Utu, Nidhamu na Uaminifu, lakini hilo lisitupe imani ya Kutengeneza mianya ya hujuma.

Kama Mtu Sio Jambazi, Hajamdhuru yeyote Kimwii, Sio Gaidi, Mnajua jinsi ya Kuwasiliana naye, ACHENI KUZINGIRA NYUMBA, NA OFISI ZA WATU, AU KUFUKUZA GARI LA MTU AMBAYE HATA HAJUI KUWA ANAHITAJIKA NA POLISI, HUKU WANAOMFUKUZA HAMNA HATA UNIFORM, HUKU NI KUJENGA MAZINGIRA YA MAUAJI NA BAADAYE TUTALETEWA HADITHI ZA AJABU, "LILIKUWA JAMBAZI, AU KAMA NI MTU ANAJULIKANA, TULIENDA NYUMBANI KWAKE, WALINZI WAKE WAKATUSHAMBULIA KWA RISASI, LAKINI KWA BAHATI MBAYA RISASI MOJA IKAMPATA YEYE, NA TUNAWASHIKILIA WATUHUMIWA WAWILI WANAOSADIKIWA KUWA WALINZI WAKE, PICHA ZAO HIZI HAPA"

bushmen.hunters.558x842.jpg

Nilihisi Kabla ya Uchaguzi kuwa Tabia na Kauli za Ukiua Jambazi, Hakuna hatia wala Uchunguzi ni za Hatari. Kwamba Nataka Jambazi akivamia mahali na silaha asikabiliwe hapana, Nia yangu Sitaki hii iwe nii Kauli Mbiu au Operesheni kama ya "Tokomeza" Ambayo itatumiwa kwa Kisingizio. Au na Watu wenye Nia mbaya ya Kuangamiza Maisha ya watu fulani. Sijakurupuka na Kusema haya yameshatokea Mara Nyingi.

Wewe ni jambazi hofu ya nini?
 
Naomba Mungu Watu wema wasiuawe Kwa Kusingiziwa Ujambazi au Majibizano ya Risasi.

Ninaomba pamoja nawe...
 
We piga kelele, lakini polisi hawaendi bila full information. Kama ni kundi lako jipange.
 
Hiyari ya polisi kutuacha au kutufumua ubongo!!!!
Imeelekezwa wasishtakiwe.
Ccm ina uwezo mkubwa wa kuambukiza ujinga!!!!!
 
CHADEMA sasa jhivi kazi yenu imebaki kutetea wanautumbuliwa,mafisadi sasa mumehamia kwa majambazi.VERY INTERESTING
 
Hii Tabia ya Polisi Kwenda Majumbani kwa Watau wakidai kwenda Kuwakamata bila hata watu wenyewe kuwa na Taarifa, na Pia Bila Polisi wenyewe Kuwa na Uniform, Nembo, pamoja na Gari za Jeshi la Polisi huku wakiwa na Silaha nzito. Na Kauli ya Kunyang'anganya Majambazi silaha haraka haraka.

Naomba Mungu isitumike kuuwa watu kuwasingizia ujambazi au majibizano ya Silaha Kama ilivyowahi Kutokea huko nyuma. Mauaji Mengine ambayo yalikuwa na Sura za Kisiasa.

Mimi Nashauri Hii Tabia ya Polisi, Kuzingira Nyumba za Watu mathalan wanasiasa nk watu ambao unaweza kuwapigia simu na wakaja kituoni, hii Tabia itakuja Kutoa Mwanya wa Watu kudhulumiwa Uhai wao Kinyume na Matakwa ya Serikali, Na Baadaye Serikali na Watanzania tutaletewa habari za Kupikwa. Najua asilimia kubwa ya Askari Polisi wana Utu, Nidhamu na Uaminifu, lakini hilo lisitupe imani ya Kutengeneza mianya ya hujuma.

Kama Mtu Sio Jambazi, Hajamdhuru yeyote Kimwii, Sio Gaidi, Mnajua jinsi ya Kuwasiliana naye, ACHENI KUZINGIRA NYUMBA, NA OFISI ZA WATU, AU KUFUKUZA GARI LA MTU AMBAYE HATA HAJUI KUWA ANAHITAJIKA NA POLISI, HUKU WANAOMFUKUZA HAMNA HATA UNIFORM, HUKU NI KUJENGA MAZINGIRA YA MAUAJI NA BAADAYE TUTALETEWA HADITHI ZA AJABU, "LILIKUWA JAMBAZI, AU KAMA NI MTU ANAJULIKANA, TULIENDA NYUMBANI KWAKE, WALINZI WAKE WAKATUSHAMBULIA KWA RISASI, LAKINI KWA BAHATI MBAYA RISASI MOJA IKAMPATA YEYE, NA TUNAWASHIKILIA WATUHUMIWA WAWILI WANAOSADIKIWA KUWA WALINZI WAKE, PICHA ZAO HIZI HAPA"

bushmen.hunters.558x842.jpg

Nilihisi Kabla ya Uchaguzi kuwa Tabia na Kauli za Ukiua Jambazi, Hakuna hatia wala Uchunguzi ni za Hatari. Kwamba Nataka Jambazi akivamia mahali na silaha asikabiliwe hapana, Nia yangu Sitaki hii iwe nii Kauli Mbiu au Operesheni kama ya "Tokomeza" Ambayo itatumiwa kwa Kisingizio. Au na Watu wenye Nia mbaya ya Kuangamiza Maisha ya watu fulani. Sijakurupuka na Kusema haya yameshatokea Mara Nyingi.

Kama wewe si jambazi au sympathiser wa majambazi , hofu yako iko wapi?
Nafikiri unao ndugu walioufanya ujambazi kuwa kazi, waonye kabla hawajafumuliwa kwa risasi.
Polisi wanatonywa na raia wema, wewe unawaficha.
 
Yaani nyie kila kitu ni kutetea tuh.........Aiseeeeh
 
Kama wewe si jambazi au sympathiser wa majambazi , hofu yako iko wapi?
Nafikiri unao ndugu walioufanya ujambazi kuwa kazi, waonye kabla hawajafumuliwa kwa risasi.
Polisi wanatonywa na raia wema, wewe unawaficha.

kuna watu ambao hawakuwa majambazi lakini waliuwawa na polisi tukaambiwa walikuwa majambazi! Unafijiri kwa ruksa waliopewa hii haiwezi tokea tena!? Usishabikie tu, Na wewe unandugu zako"
 
Yes, kuna polisi majambazi.
Hao wapo dunia nzima , the rotten apples.
Lakini si wako mahakamani?
 
Wewe ni jambazi hofu ya nini?
Yeye sio Jambazi, ila anafahamu kama Watanzania wengi tunavyofahamu kuwa raia wengi wasio na hatia walishauwawa kwa mtindo huo! Umesahau wale wafanyabiashara wa madini waliouwawa enzi ya Zombe!??
 
kuna watu ambao hawakuwa majambazi lakini waliuwawa na polisi tukaambiwa walikuwa majambazi! Unafijiri kwa ruksa waliopewa hii haiwezi tokea tena!? Usishabikie tu, Na wewe unandugu zako"
popote penye majibizano lazima kutokee kujeruhiwa lakini cha ajabu majibizano ya Tanzania ni tofauti na majibizano ya Nchi zingine kwenye ujambazi ambapo athari za majibizano hutokea pande zote . Majibizano ya tanzania majambazi huuawa wote pasipo polis kujeruhiwa kabsa.
 
Yeye sio Jambazi, ila anafahamu kama Watanzania wengi tunavyofahamu kuwa raia wengi wasio na hatia walishauwawa kwa mtindo huo! Umesahau wale wafanyabiashara wa madini waliouwawa enzi ya Zombe!??
Mkuu majibizano ya Tanzania ni tofauti na majibizano yote Funiani , hukuna kujeruhiwa lakini majambazi wote hufa .
 
Back
Top Bottom