naomba mtupostie wimbo wa "WARAKA" wa bahati bukuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

naomba mtupostie wimbo wa "WARAKA" wa bahati bukuku

Discussion in 'Entertainment' started by Akili Kichwani, Jan 27, 2010.

 1. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  habari waungwana.

  nimeburudika sana na wimbo wa "baba paroko" uliopostiwa hapa na mwanJF mmoja japo si mimi niliyeuomba.

  kusema kweli kwa mwaka uliopita 2009 kwa bongo hakuna wimbo uliovuma zaidi wa "waraka" nauzimikia sana wandugu. nimejaribu kutafiuta sana kwenye net yaani, you tube na mitandao mingine na blog mbalimbali sijaona.

  kama kuna mtu anajua site ninayoweza kuupata, naomba atubandikie hapa sie tulio mbali na bongo tusuuuze nyoyo zetu.

  ".................ujue umechaguliwa esta, kwa wakati huu, hakuna wakati mwinginee, waweza kutuokoa, ujue umechaguliwa kuwa malikia kwa wakati huu....................."

  thanks wakubwa in advance

  mbarikiwe
   
 2. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  mheshimiwa kwetunikwetu, upo?

  saa hizi na-enjoy baba paroko. angalia angalia basi na waraka mzee.
   
Loading...