Mwe mbona watu wengine mnajitafutia magonjwa ili hali si wagonjwa,we una uwezo wa kukimbia mita 100 unataka marathon wakati si uwezo wako,huko kuwahi unawahi dakika ngapi mpaka unakuita kuwahi, hiyo kusimama tena baada ya dakika 10 si tatizo ndo uwezo wako huwezi kuunganisha. Tena wewe uko vizuri wengine mpka lisaa ndo ngoma inasimama tena. Usidanganyike na watu wanaojisifu mabao saba jua kiwango chako cheza smart ndani ya uwezo wako.
uko vizur, sijui ni she/he??Mwe mbona watu wengine mnajitafutia magonjwa ili hali si wagonjwa,we una uwezo wa kukimbia mita 100 unataka marathon wakati si uwezo wako,huko kuwahi unawahi dakika ngapi mpaka unakuita kuwahi, hiyo kusimama tena baada ya dakika 10 si tatizo ndo uwezo wako huwezi kuunganisha. Tena wewe uko vizuri wengine mpka lisaa ndo ngoma inasimama tena. Usidanganyike na watu wanaojisifu mabao saba jua kiwango chako cheza smart ndani ya uwezo wako.
habari za asubuh wadau,,
hiv tatizo la kuwah kumaliza wakat wa tendo la ndoa na uume kuchelew kusimama again
hadi kufikia dk 10 mpak 15 linaweza kbsolved kwa njia ipi nyepesi na ya kawaida