Muntu Ya Pori JF-Expert Member Joined Jun 25, 2013 Posts 222 Reaction score 64 Dec 5, 2013 #1 wadau naomba yeyeto mwenye window 7 anisaidie. nataka kuondoa xp na kurun window 7 lakini hata kama una window 8 usisite kunisaidia
wadau naomba yeyeto mwenye window 7 anisaidie. nataka kuondoa xp na kurun window 7 lakini hata kama una window 8 usisite kunisaidia
S Surgical Blade JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 349 Reaction score 16 Dec 5, 2013 #2 Specifications, za Computer, yako hujasema, alafu unaitaji msaada, Windows 7>>>>>8>>8.1 zinaanzia GB 3>>> na hapo kwenye CD bado haija ji Expand, halafu husemi kama una desktp au lptop, kweli kaka?
Specifications, za Computer, yako hujasema, alafu unaitaji msaada, Windows 7>>>>>8>>8.1 zinaanzia GB 3>>> na hapo kwenye CD bado haija ji Expand, halafu husemi kama una desktp au lptop, kweli kaka?
A Aleyn JF-Expert Member Joined Nov 12, 2011 Posts 24,272 Reaction score 43,174 Dec 5, 2013 #3 Mimi ninazo zote hizo.
S Surgical Blade JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 349 Reaction score 16 Dec 5, 2013 #4 ALEYN said: Mimi ninazo zote hizo. Click to expand... alafu naitafuta sana 3.1 kaka sijui kama ntaipata!
ALEYN said: Mimi ninazo zote hizo. Click to expand... alafu naitafuta sana 3.1 kaka sijui kama ntaipata!
Chipukizi JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 4,657 Reaction score 7,146 Dec 5, 2013 #5 middlebopper said: alafu naitafuta sana 3.1 kaka sijui kama ntaipata! Click to expand... Kaka upo serious? Nnayo na dos 6.2
middlebopper said: alafu naitafuta sana 3.1 kaka sijui kama ntaipata! Click to expand... Kaka upo serious? Nnayo na dos 6.2
S Surgical Blade JF-Expert Member Joined Apr 28, 2013 Posts 349 Reaction score 16 Dec 5, 2013 #6 Chipukizi said: Kaka upo serious? Nnayo na dos 6.2 Click to expand... kaka 3.1 nataka bit 16