Kadamfu Senior Member Joined Nov 18, 2011 Posts 117 Reaction score 31 Aug 12, 2012 #1 laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko:
laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko:
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,595 Reaction score 22,334 Aug 13, 2012 #2 Kadamfu said: laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko: Click to expand... Ndugu maelezo hayajitoshelezi kabisa. Ongeza maelezo ya tatizo ili tukupatie ushauri nini cha kufanya.
Kadamfu said: laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko: Click to expand... Ndugu maelezo hayajitoshelezi kabisa. Ongeza maelezo ya tatizo ili tukupatie ushauri nini cha kufanya.
JosephElly JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,432 Reaction score 1,035 Aug 13, 2012 #3 tatizo nini haswa?
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,935 Aug 13, 2012 #4 Kadamfu said: laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko: Click to expand... Ni laptop au mtandao unaoutumia? kama ni laptop, tupa, nunuwa nyingine. Hakikisha unapata angalau core i7 kwa sasa. Hakikisha hununui mtumba. Wengine washaichoka nyie mnakurupuka.
Kadamfu said: laptop yangu haionyeshi vizuri video za kwenye mtandao .km vile youtube .yaani nakosa raha kabisa :wacko: Click to expand... Ni laptop au mtandao unaoutumia? kama ni laptop, tupa, nunuwa nyingine. Hakikisha unapata angalau core i7 kwa sasa. Hakikisha hununui mtumba. Wengine washaichoka nyie mnakurupuka.