Naomba msaada wenu

Duh
 
Ni kumuomba Mungu atuepushe na namna yoyote ya kufeli,ipo shida kubwa sana mwanaume unapokuwa huna hata pesa kidogo mfukoni kwa ajili ya kulisha tumbo lako.haya ya mahusiano kila mtu ana namna atazungumzia kitabu chake but the issue ni unaishi nyumba za watu hela ya kula huna kodi itakuwaje?ni huzuni anayeweza kumsaidia jamaa amsaidie kwa chochote.

Mungu amsaidie mleta mada apate wepesi kwa anayoyapitia.
 
Kumbe na wewe umwliona hilo...hawa hawafai wanatukandiaga sie wanaume oh nyie tamaa ya mbususu kumbe wao ndio tamaaa kweli kweli hawana utu hawa...ni mwendo wa kusasambua mbususu na kusepa
 
Hata mama mzazi si wote, kuna wengine hakuna kitu kama hicho sema ni moyo wa mtu
 
Umeambiwa uweke namba. Edit uzi wako uongezee namba ya simu na jina litakuja nani usaidiwe na watakaoguswa
Nimemuelewa sana!

Upo uwezekano wa kuwepo watu wanaomjua humu ndo maana tunatumia fake IDs anayetaka kumsaidia atamfata pm tu sijaona shida bado.
 
Umeona eee anamnyanyasa mwanamke mpaka ,sasa huyo mwanamke siku ajitoe baada ya Mme kufulia utasikia wanawake sio watu, kuna 1 alikuwa anamjibu nikupe wewe pesa ili usaidie kwenu sijaoa ukoo hata kama ni mahitaji mie natuma kwetu, siku kafulia eti anambembeleza mkewe, na ndiye wanapambana naye mpaka sasa hali ngumu haswa.
 
Kumbe na wewe umwliona hilo...hawa hawafai wanatukandiaga sie wanaume oh nyie tamaa ya mbususu kumbe wao ndio tamaaa kweli kweli hawana utu hawa...ni mwendo wa kusasambua mbususu na kusepa
Kiumbe kinachoitwa mwanamke ni nyoka sana brother tuishi nao kwa akili kama ambavyo biblia imetuonya.

Mwanamke ameambiwa ampende mwanaume na mwanaume amheshimu mwanamke.

Mwanaume anaweza kumpenda mwanamke yeyote bila kuangalia hali yake kiuchumi kwanza huwa hatuangalii hayo ila mwanamke atakuangalia kiuchumi kulingana na standards zake.


Kama standard yake ni mwenye bodaboda ataangalia hiyo na siku ukiwa hauna atakuacha, Kama ni mwenye elimu au gari au kazi fulani nzuri basi siku ukikosa hayo jiandae tu.
Haya maneno mengine wanazusha tu sababu ndoa usitegemee ni lelemama kwamba mtaishi bila kukwaruzana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…