Ng'wanza Madaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2008
- 2,268
- 338
BB ni mwisho wa matatizo!
Mkuu hapa sijakuelewa vizuri.bb nzuri sana maana imezidi nyingine zote kwa weusi
BB ni mwisho wa matatizo!
Really?
Mimi sijawahi kuona kwanini watu wanazipenda sana.
Kwa mto mada. . . ingekua chaguo langu ningechagua Nokia maana hata kamera yake ina mp kubwa zaidi.
Kilichonichanganya mimi ni Full phone Specifications kama vile ziko sawa zoteKama photography ni moja ya outdoors activities na hoby yako then Nokia inaweza kuwa inafaa. But hicho ni kigezo kimoja. Unachotakiwa kucheki ni requirement zako then linganisha bihaa fulani fulani. Kama ni mtu wa kikazi zaidi n na hauitaji mambo ya fun BB inaweza kuwa ndio chaguo sahihi. So it all depend on your real requirement.
we nunua BB uwe unapigwa data plan ya up to 35k kwa airtel,Kilichonichanganya mimi ni Full phone Specifications kama vile ziko sawa zote