Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Kwenye duara hilo x = 260Habari wana jf.
Mtoto wa mwenye nyumba amefanya mtihani wa pre national juzi.Sasa Katika mtihani huo kulikuwa na swali ya mathematics ambalo hata walimu wake wamelishindwa dogo na Mama ake wameniletea Mimi.
Nimeyapiga hayo maswali lakini nimechemka sasa nimeyaleta kwenu.
Fanya weka na njia hapo chini.Maswali Yote mawiliView attachment 1174267
Habari wana jf.

Ntaanza na namba 31Habari wana jf.
Mtoto wa mwenye nyumba amefanya mtihani wa pre national juzi.Sasa Katika mtihani huo kulikuwa na swali ya mathematics ambalo hata walimu wake wamelishindwa dogo na Mama ake wameniletea Mimi.
Nimeyapiga hayo maswali lakini nimechemka sasa nimeyaleta kwenu.
Fanya weka na njia hapo chini.Maswali Yote mawiliView attachment 1174267
X = 260Habari wana jf.

X = 260
EC = 6
Ntaanza na namba 31
kwanza, 0 kuwa kitovu cha duara maana yake kwamba, kuna Nusu vipenyo vitatu... ambavyo doted line ipo pande mbili za pembetatu mbili. Kwa maana hiyo kuna ISOSCELES triangles mbili. Kwa kutumia sheria ya ISOSCELES trangles, angle yenye nyuzi 80, upande wa pili ni nyuzi 50. na upande mwingine utakuwa na nyuzi 80. Jumla ya nyuzi kwenye pembetatu ni 180.
Hivyo pembetatu ya kwanza... 50 + 50 + y = 180, hivyo y itakuwa na nyuzi 180 - 100 = 80
Pembetatu ya pili itakuwa 80 + 80 + z = 180, hivyo z itakuwa na nyuzi 180 - 160 = 20
Sasa y+z+x (x ndo inatotafutwa) unapata nyuzi za duara ambazo ni 360
kwa hiyo y+x+x = 360
80 + 20 + x = 360
x = 360 -80 - 20
x = 360 - 100
x = 260
HAPA KWA KUTUMIA TABIA ZA TRIANGLES NA RADIUS YA DUARA KUWA SAWA KILA UELEKEO NDO UNAWEZA UKAPATA JIBU SAHIHI
32. EC=6
Nataka njia
Kwa sheria ya similarities umbo pembe tatu ABC~ADE. Hii inamaana the ration of (AE/AC)=(DE/BC)=(AD/AB). Then 12/16=18/AC, AC=24, but EC=AC-AE=24-18=6. Their for EC=6
Asante Sana
Habari wana jf.
Mtoto wa mwenye nyumba amefanya mtihani wa pre national juzi.Sasa Katika mtihani huo kulikuwa na swali ya mathematics ambalo hata walimu wake wamelishindwa dogo na Mama ake wameniletea Mimi.
Nimeyapiga hayo maswali lakini nimechemka sasa nimeyaleta kwenu.
Fanya weka na njia hapo chini.Maswali Yote mawiliView attachment 1174267
Kwenye duara hilo x = 260
Nipo kwenye boat mkuu ila hilo la 32 ningekupigia fasta sna