naomben msaada wenu ndugu, kuna app niki-instal inakubali ila nikitaka ku-open inakua "system error". Simu yangu ni nokia 5320 xm, kama kuna link yeyote nidondosheen hapa chini!
there are hunderds of hacking tutorial ctaki amini kama umeshindwa, nywy go to a forum moja ipo PRODIGITS.CO.UK, AU kama jamaa alivyo sema hapo juu get ur self ANDROID
naomben msaada wenu ndugu, kuna app niki-instal inakubali ila nikitaka ku-open inakua "system error". Simu yangu ni nokia 5320 xm, kama kuna link yeyote nidondosheen hapa chini!
<br />
<br />
Mkuu kwani hiyo app. una-install kutoka media gani, kama ni kutoka Internet basi wakati mwingine unapodownload kunaweza kutokea some gritches kwenye network ukajikuta program iliskip some code matokeo yake inashindwa ku-run baada ya kuwa installed, hivyo nakushauri utumie bittorrent au download manager kufanikisha error free download. Tatizo lingine inawezekana OS ya simu yako haiko compatible na app yako.