Naomba msaada wenu juu ya hili swali

Naomba msaada wenu juu ya hili swali

Rod eli Shia

Member
Joined
Aug 4, 2020
Posts
24
Reaction score
10
Naweza kusoma course ya Clinical kama nina hiz credit
C-BIOLOGY
C-CHEMISTRY
D-MATH
C-ENGLISH
D-PHYSIC
Naomba ushauri wenu kabla ya Deadline
 
Unaweza lakini kwa serikalini ushindani ni mkubwa mno, apply japo usichague vyuo vikubwa kama kibaha, lugalo, mbeya,, lkn pia kama utaweza nenda kajieleze chuon kuwa unauhitaji wa kusoma iyo koz watakusaidia..
 
Asante lakini hawawezi kuangalia Division maana na Division 2:19
 
Yaan siwez labda nikapewa kipaumbele japo
Kwanza hongera kwa dvn nzur uliyopata, kiukweli kwa vyuo vya serikali unaweza ukawa na vigezo na usichaguliwe au ukachaguliwa, kwaiyo unapoapply vyuo vya serikalini hasa kwa koz za afya zebye ushindani kama clinical medicine usiweke 100% ya kupata hivyo kuwa dynamic, kwa ushauri wangu kwa alama ulizopata ni nzuri , fanya application mtandaoni lakini pia kwa vyuo vilivyo karibu na ww nenda kawaombe maana huwa baadhi ya wanafunz wanachaguliwa lakini hawariport kwaiyo ile nafasi inakuwa wazi ukiongea nao watajua namna ya kukusaidia ujiunge, lkn Jambo kubwa mtangulize Mungu maana ushindani kwa government ni mkubwa licha ya kuwa vigezo unavyo
 
Asante kwa ushauri wako mzuri nitaufanyia kazi
 
Naweza kusoma course ya Clinical kama nina hiz credit
C-BIOLOGY
C-CHEMISTRY
D-MATH
C-ENGLISH
D-PHYSIC
Naomba ushauri wenu kabla ya Deadline
Unaweza ukapata, hivyo omba lakini jisambaze kwa kujumuisha vyuo ambavyo ushindani wake si mkubwa sana.
 
Back
Top Bottom