Naomba msaada wenu hapa, asome kombi gani?

Naomba msaada wenu hapa, asome kombi gani?

I/11
CIV - 'B'
GEO - 'B'
KISW - 'A'
ENGL - 'A'
PHY - 'C'
CHEM - 'B'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'A'
B/MATH - 'C'

Msadieni na huyu.
 
Habari za leo jf-members

kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17

IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
Hapa ndipo huwa siwaelewi nyie vijana! Mtu Physics amepata D form four, unadhani akiwa form six anaweza vuka D, huyo ni E au F kabisa. Kwanini mnalazimisha, huyo aende diploma aidha ya uhandisi au chuo cha afya na baada ya hapo, degree hadi PhD
 
Inawezekana.
Yupo mtu alipata Form 4 Div 1 ya 16, Phy C, Math C, Chem D.
Alisoma advance PCM na hiyo Chemistry alifaulu zaidi ya masomo yote Form 6 na
hakusoma tuition kabisa
somo hilo.
 
D,B,B kama ni msichana atachaguliwa combination inayohusisha Physics, ila kama ni mvulana usiweke matumaini makubwa ya kuchaguliwa Serikalini combination inayohusu Physics.
Weka 50/50
 
Habari za leo jf-members

kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17

IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
Huyo
I/11
CIV - 'B'
GEO - 'B'
KISW - 'A'
ENGL - 'A'
PHY - 'C'
CHEM - 'B'
BIO - 'B'
COMP STUD - 'A'
B/MATH - 'C'

Msadieni

Habari za leo jf-members

kuna mdogo wangu amehitim form 4 mwaka jana anataka akasome A-level PCM Kwa matokeo haya
physics-D
chemia-B
mathe-B
division i-17

IVI INAWEZEKANA INGALI KUWA PHYSICS AMEPATA D?. Naomben ufafanuzi.
Huyo anataka nn yey? Akeenda EGM Ingekuwa vizuri kama phy inamzingua kwa sababu huko mbele phy imechangamka mkuu
 
Huyu anataka u doctor 💊
Mmmmh inawezakana .ila inabidi akasome sana pcb inawakataa wengi sana.

Mfano mtu anamaliza ana division 1 ya point 7 lakn anakosa chuo .na hii inatokana na competition kubwa kwenye afya .

Ukirudi kwenye vyuo vya private ada kubwa sana .kama wazazi wake hawana uwezo atajikuta anaenda kwenye masomo ya biashara,it ,computer na mengine kama hayo.

Vyuo kama st joseph,kampla ,st francis ,cuhas,kcmc na st john ada zake ni kubwa mno kwa MD 6,000,000/= mpk 8,000,000/= na pharmacy na nursery 4,000,000/= na 5000,000/=

Vyuo ni suza,muhimbili na udom lakn ushindani.
 
Back
Top Bottom