Hivi ni nani alitoa ruhusa kwa waislam kuwa wajinjaji wa nyama zote hapa nchini kwetu? Nauliza hii maana kuna mchungaji kachinja na sasa yupo mahabusu.

Nadhani wnasheria watusaidie apa kama kuna kipengele kinachosema ni muislamu tu ndiyr achinje nyama(nazani hasa kwenye machinjio ya serikali tu na sio majumbani)