Bazazi
JF-Expert Member
- Aug 18, 2008
- 2,806
- 3,524
za jiioni wapendwa,
hii itawahusu wale wenye urafiki na jiko,
jamani sio masihara mwenzenu nimejaribu kukizoea kitunguu lakini naona nashindwa, kifupi nahitaji dawa kwa mwenye experience kwani kila napokigusa kukatakata chaishia kunipa machozi na mafua hapo ntautafuta upepo ulipo kwanza ndio nije niendelee sekunde mbili kilio tena, kipindi nipo home kwa wazazi nilikua nategea wadogo zangu wananiandalia me naendelea na viungo vingine, sasa maisha haya ya kutafuta now cna msaada nikifikiria kitunguu tu nakosa raha ya kupika , nsaidieni jamani naogopa cku ntakutana na wakwe live wananshangaa navyotokwa na michozi,
am serias jamani am luuking for dawa au mbadala wa kutayarisha kitunguuu,
kama hili c jukwaa lake pia nsaidieni kuhamisha bt i ril nid a help on this.
Kitunguu gani hicho ambacho chakuliza?
Ni hiki ambacho Bazazi akijua au kipi jamani!
Bazazi!